Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mashuhuda waeleza madhila na kinga ya malaria Tanzania

Mashuhuda waeleza madhila na kinga ya malaria Tanzania

Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya afya April saba, huku dhimia ikiwa kutokomeza magonjwa yanayoambukizwa kwa wadudu kama vile malaria, nchini Tanzania ugonjwa huo unatajwa kupungua kwa asilimia nane.

Penina Kajura wa radio washirika Afya Fm ya Mwanza amezungumza na baadhi ya mashuhuda wa ugonjwa huo wanaoeleza madhila yake na namana ya kujikinga . Ungana naye.