7 Aprili 2014
Rais mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chisano amesema nchi hiyo imepiga hatua katika maridhiano na utengemano huku akitoa angalizo la kuimarisha amani ndani ya nchi na amani na nchi jirani.
Akizungumza mjini New York, Marekani katika mahojiano maalum na Idhaa hii kuhusu kumbukizi ya miaka ishirini ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda Rais mstaafu Chissano ambaye alishiriki michakato ya amani kwenye eneo la Maziwa Makuu amesema..
(Sauti ya Chissano)