Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa, washirika wahaha kunusuru watoto yatima Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa, washirika wahaha kunusuru watoto yatima Sudan Kusini

Wakati mapigano yakiendelea kuripotiwa huo Sudan Kusini Umoja wa Mataifa na washirika wanafanya kila wawezalo kunusuru watoto hususani yatima amabo huteseka zaidi kutokana na kutengana na familia zao wakati zikihaha kunusuru maisha yao.

Ungana Joseph Msami katika makala inayoangazia juhudi hizo katika taifa changa lililotumbukia katika mizozo.