Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhaba wa maji wamulikiwa nchini Tanzania

Uhaba wa maji wamulikiwa nchini Tanzania

 

Dunia ikiwa imeangazia umuhimu wa maji kwa siku maalum hivi karibuni, upatikanajai wa maji bado ni changamoto kubwa katika nchi zinazoendelea mathalani Tanzania ambapo jamii nyingi hazipati maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kazi nyinginezo.

Ungana na Muhamed Hammie kutoka radio washirika Panganai Fm iliyoko Tanga Tanzania anayeangazia uhaba wa maji mkoani humo.