Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tamko la serikali Kenya kuhusu wakimbizi lazua hofu:UNHCR

Tamko la serikali Kenya kuhusu wakimbizi lazua hofu:UNHCR

Kenya ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi. Katika siku za hivi majuzi kumekuwa na maswala yanayoibuka kuhusu uhusiano wa uwepo wa wakimbizi katika maeneno tofauti na hali ya usalama nchini humo.

Katika mahojiano maalum na Idhaa hii Joseph Msami amezungumza na msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Kenya Abel Mbilinyi kufuatia tangazo la Kenya lakuwataka wakimbizi wote walioko nchini humo kurejea kambini.Hapa anaanza kwa kujibu swali aliloulizwa wamepokeaje tangazo hilo la serikali.

(MAHOJIANO)