Umoja wa Mataifa na wadau warejesha nuru ya maisha kwa Arafa Halfani Mwamba:

19 Machi 2014

Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la masuala ya wanawake, UN-Women na shirika la kujitolea la Uingereza VSO limerejesha nuru ya maisha kwa mkazi wa Mtwara nchini Tanzania, Arafa Halfani Mwamba ambaye akiwa na umri wa miaka 40 maisha yake yalitwama kutokana na ndoa iliyogeuka machungu. Kilimo cha familia hakikuwa na maslahi kwake hadi Umoja wa Mataifa na wadau walipochukua hatua ambazo zilizaa matunda kwa maisha yake na jamii yake kwa ujumla. Je kulikoni? Fuatana na Assumpta Massoi kwenye makala hii.

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa UNGA76 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter