Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IMF yajikita kwenye kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake

IMF yajikita kwenye kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Shirika la Feddha Duniani, IMF, limeungana na mashirika mengine ya kimataifa katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8.

Katika ujumbe wa video, Mkuu wa IMF, Christine Lagarde, amesema shirika hilo linajaribu kumulika masuala ya wanawake, na kuhakikisha kuwa kila mtu anafahamu kuwa wanawake huleta mabadiliko

“Wanawake huongeza thamani katika jamii, wanaweza kuchangia katika uchumi, na kwamba wana umuhimu mkubwa wakati tunapoangazia thamani, misingi muhimu na kutimiza ahadi zao.”