Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa wainua wanawake Tanzania

Umoja wa Mataifa wainua wanawake Tanzania

Dunia ikiwa inaelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Umoja wa Mataifa uko mstari wa mbele kuwawezesha wanawake katika maeneo mbalimbali ikiwamo afya ya uzazi, mazingira na hata kuwajengea uwezo wa kujiamini.

Nchini Tanzania Umoja huo kupitia chama cha umoja wa Mataifa cha vijana YUNA umejikita katika kutoa elimu na miongonimwa walionufaika ni Chantal Mwango’nda ambaye amemweleza Joseph Msami wa idhaa hii katika mahojino maalum nmna YUNA ilivyomjengea uwezo.

(SAUTI MAHOJIANO)