Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanamke ajikwamua kwa kilimo mjini

Mwanamke ajikwamua kwa kilimo mjini

Ikiwa tunaelekea siku chache kabla ya siku ya wanawake duniani kilimo ni kiungo muhimu katika kuchagiza maendeleo na kuhakikisha uhakika wa chakula. Wakati mwingi kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa jamii nyingi barani Afrika hufanyika vijijini lakini hukoMombasa Kenya kuna mwanamke mmoja ambaye anaendehsa kilimo mjini gorofani. Salim Pwani wa Radio washirika Pwani fm nchini humo alipata fursa ya kuongea naye ungana naye.