Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake watakiwa kutumia uhuru na mitaji kujikwamua kiuchumi

Wanawake watakiwa kutumia uhuru na mitaji kujikwamua kiuchumi

Mitaji midogo nauhuru walionao wanawake ni sehemu ya nyenzo muhimu ambazo ikiwa watazitumia zinaweza kuwainua kiuchumi na hata kijamii, amesema mmoja wa wanawake wafanyabiashra wakubw anchini Uganda

Katika mahojiano na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya nchini Uganda mfanyabiashara huyo Alice Kabatoro anayemiliki mgahawa na nyumba ya wageni huko Hoima, amesema licha ya baadhi ya taasisi za kifedha nchini humo kutopatia kipaumbele utoaji mikopo kwa wanawake, bado wana fursa ya kusonga mbele . Ungana na JohnKibego ambaye amemtembelea mama huyu katika eneo lake la kazi.

 (SAUTI MAHOJIANO)