Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Kumbukumbu ya miaka 20 baada ya mauaji ya Rwanda yafanyika New york

Miaka 20 baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, utengamano unaolenga kuhakikisha matukio hayo hayajirudii tena ndiyo kitu muhimu kwa sasa. Taifa hilo limeadhimisha miaka 20 ya mauaji kwa hafla maalum ya kumbu kumbu iliyofanyika makaoa makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.