Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yaendelea kuwanusuru wakimbizi Sudani Kusini

IOM yaendelea kuwanusuru wakimbizi Sudani Kusini

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linaendela na opreshenai za kuwanusuru wakimbizi wanaotafuta hifadhi kufuatuia machafuko nchini Sudani Kusini ambapo kwa kutumi usafiri wa boti na basi imewasafirisha wahamiaji 425 kutoka kambi iitwayo Gambella na kuwapeleka nchini Ethiopia

IOM pia kwa kushirikiana na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa inasaidia katik akuhamisha vifaa vya mahitaji aya msingi kama chakula, maji na huduma za kusafi.

Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM

(SAUTI JUMBE)