Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utapiamlo kuathiri watoto walioko vitani CAR

Utapiamlo kuathiri watoto walioko vitani CAR

Vita vinavyoendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR zimedhihirisha athari za moja kwa moja ambako ukiachilia mbali athari za kiuchumi, athari za kijamii kama magonjwa hususani kwa watoto zimeanza kujitokeza.

Ripoti ya Grace Kaneiya inaangazia namna vita hivyo vya kidini vilivyoigawa jamii hiyo lakinji kubwa zaidi watoto wako katika mazingira hatarishi. Ungana naye.