Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF linawaunganisha watoto na familia zao Sudan kusini

UNICEF linawaunganisha watoto na familia zao Sudan kusini

Wakati mapigano yakiripotiwa kupungua nchini Sudani Kusini shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linahaha kuwaunganisha na familia zao watoto ambao walitengana na familia kutokana na adha za vita.

Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo