IOM, UNHCR Kuanza utafiti wa zoezi la kuwahamisha wakimbizi waSomalia walioko Kenya

IOM, UNHCR Kuanza utafiti wa zoezi la kuwahamisha wakimbizi waSomalia walioko Kenya

Shirika la kimataifa la uhamijai IOM  kwa kushirikiana  na shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR wameanza utafiti wa miezi mine kuhusu adhma ya kuwarudisha kw ahiarui wakibiz waSomaliawalioko katika kambi ya Daadab nchiniKenya.

Hii inafuataia makubalinao yaloyotiwa saini mwaka jana  kati ya serikali zaKenyana Somaliana UNHCR ambapo mashirika hayo yalikubaliana kuendesha utafiti kuhakiisha maoni ya wakimbizi yanasikilizwa na kuzingatiwa katika hatua za kupanga kuondoka kwao kwa hiari.

Abel Mbilinyi ni msemaji wa UNHCRKenya

(SAUTI MBILINYI)

Katika miezi miwili ijayo maafisa 50 w IOM watazihoji kaya 7,453 zinazowakilisha vikundi 27 vya wakimbizi kutoka mikoa tisa tofauti nchini Somalia ambavyo viko katika kambi ya Daadab