Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vitambulisho vya uraia vyaanza kutolewa Somalia, raia wafurahia!

Vitambulisho vya uraia vyaanza kutolewa Somalia, raia wafurahia!

Somalia! Taifa linalochomoza kwa kukuwa katika sekta mbalimbali. Licha ya changamoto za kiusalama lakini taifa hili linazidi kupiga hatua mbalimbali. Makala ifuatayo inaangazia namna vitambulisho vya uraia vinavyoweza kutolewa.

Ungana na Asumpta Massoi kwa undani wa taarifa hiyo.