Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wapazia sauti watakayo kwa Bunge maalum la Katiba

Vijana wapazia sauti watakayo kwa Bunge maalum la Katiba

Wakati bunge maalum la Katiba likiwa limeanza vikao vyake huko Dodoma nchini Tanzania kupitia rasimu ya katiba mpya, baadhi ya vijana wameeleze kile wanachotaka kuona kwa mustakhbali bora wa kundi hilo na nchi kwa ujumla.

Wakizungumza na Stella Vuzo wa Kituo cha Umoja wa Mataifa Tanzania, vijana hao wakiwemo Merkson Lauden mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi amesema hata hivyo hilo litawezekana iwapo kanuni za utendaji wake zitakuwa wazi.

(Sauti ya Merkson)

Naye Esta mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe akataka wajumbe wa bunge hilo waangazie sheria kandamizi.

(Sauti ya Esta)

Mahojiano kamili na vijana hao yatapatikana kwenye tovuti yetu.