Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni muhimu kujitambua ili kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanahabari hususan wanawake:Zakia

Ni muhimu kujitambua ili kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanahabari hususan wanawake:Zakia

Maadili ya kazi ni muhimu kwa wanawake wanaofanya kazi ya radio amesema Zakia Mohamed mwanahabari mkongwe nchini Kenya na ambaye amekuwa akifanya kazi katika shirika la utangazaji Kenya KBC.

Katika mahojiano maaluma na Salim Chiro wa radio washirika Pwani Fm iliyoko Mombasa, Bi Zakia amesema msingi wa mafanikio katika kazi ni kujiamini. Kwanza anaanza kwa kueleza safari yake ya kuwa mwanahabari.