Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake nchini Uganda wasema radio ni kichocheo cha maendeleo

Wanawake nchini Uganda wasema radio ni kichocheo cha maendeleo

Tunapoelekea siku ya radio duniani February 13,  umuhimu wa chombo hicho kwa wanawake ni mkubwa na hasa ikizingatiwa kuwa huitumia radio kwa maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kadhalika.Huko nchini Uganda wanwake hao wanasema kwao radio ina umuhimu mkubwa katika kusongeza mbele juhudi za kujiletea maendeleo katika sekta kadhaa. Ungana na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ilioyoko Huima nchini humo kwa undani wa taarifa hii.