Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Radio ni mkombozi kwa wanawake DRC

Radio ni mkombozi kwa wanawake DRC

Huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , DRC radio ni chombo chenye umuhimu mkubwa hususani kwa wanawake, ambao wanasema wanapata elimu, kuhusu masuala ya uzazi na mengineyo ya kijamii. Ungana na Langi Asumani wa radio washirika Umoja nchini humo aliyefanya mahojiano na Sango Batenji, mratibu wa shirika la FFD Baraka akiangazia umuhimu wa radio kwa wanawake.