Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia yaimarisha serikali

Somalia yaimarisha serikali

Utawala wa Juba nchini Somalia unaimarika wakati huu ambapo taifa hilo linaendelea kujitahidi kijenga upya nchi ambayo kwa miongo miwili ilikumbwa na mizozo.

Ungana na Joseph Msami anayeangazia uimarishwaji wa serikali nchini Somalia katika ripoti ifuatayo.