Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa Sudani Kusini walioko Uganda wapata ahueni ya chakula

Wakimbizi wa Sudani Kusini walioko Uganda wapata ahueni ya chakula

Wakati jumuiya ya kimataifa ikihaha kunusuru hali ya machafuko nchini Sudani Kusini wakimbizi wa nchi hiyo wamepata ahueni baada ya kufikishiwa chakula cha msaada na shirika la mpango wa chakula duniani WFP.

 Asumpta Massoi anaangazia hali ya chakula kwa wakimbizi wa Sudani Kusini walioko Uganda.