Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto waunganishwa tena na familia zao Sudani Kusini

Watoto waunganishwa tena na familia zao Sudani Kusini

Huku mzozo wa Sudan Kusini ukiendelea kutokota athari za mzozo huo zinathihirika kwa watu wanoendelea kukimbia makwao na kupoteza makazi ama watoto wanapotezana na familia zao wakati wakikimbia mapigano.

Ungana na Grace Kaneiya katika ripoti ifuatayo inayoangazia madhila ya mwanamke mmoja ambaye mumewe aliuwawa huku watoto wao wakishuhudia