Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usafiri, swala muhimu katika kujiimarisha kwa taifa la Somalia

Usafiri, swala muhimu katika kujiimarisha kwa taifa la Somalia

Wakati taifa la Somalia likiendelea kujiimarisha kiusalama na kimaendeleo miundombinu ya usafiri ni suala muhimu katika kufikia hatua hiyo.

Joseph Msami anamulika hali ya uwanja wa kimataifa wa ndege Kismayo mji ambao ni kitovu cha uchumi cha Somalia. Ungana naye katika makala ifuatayo.