Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Alshabaab watangaza marufuku ya kutumia internet Somalia, wananchi walalama!

Alshabaab watangaza marufuku ya kutumia internet Somalia, wananchi walalama!

Wakati taifa la Somalia likjitutumua katika ustawi wake kiuchumi, kisiasa na kijamii, juhudi hizo zinakumbana na vikwazo mbalimbali ikiwamo tishio la usalama wa mawasiliano kimtandao.

Hapa namaanisha mtandao wa internet . Katika hali ya kushangaza  kundi la kigaidi la Al shabaab ambalo limekuwa linahatarisha usalama nchini humo limepiga marufuku wananchi kutumia mtandao wa internet. Hi ni muda mfupi baada yakutangaza marufuku kwa wananchi nchini Somalia kufanya kazi na mashirika ya Umoja wa Mataifa . Kulikoni? Ungana na Asumpta Massoi katika ripoti ifuatayo.