Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haiti yaadhimisha miaka minne tangu ikumbwe na tetemeko la ardhi

Haiti yaadhimisha miaka minne tangu ikumbwe na tetemeko la ardhi

Ni tukio lenye hisia na majonzi, ni tukio linalokumbusha vifo visivyotarajiwa. Pia tukio hili linakumbusha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya nchi. Hii ni Haiti inayoadhimisha miaka minne tangu tetemeko la ardhi liipige na kusababisha maafa .

Ungana na Grace Kaneiya katika ripoti ifuatayo.