Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maelfu ya wakimbizi toka Sudani Kusini wazidi kumiminika Uganda

Maelfu ya wakimbizi toka Sudani Kusini wazidi kumiminika Uganda

Wakati machafuko nchini Sudani Kusini yakiendelea wakimbizi wanaoikimbia nchini humo wanaendelea kumiminika sehemu mbalimbali ikiwamo nchi jirani kama Uganda ambapo maelfu wanaripotiwa kukimbilia nchini humo.

 John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya nchini Ugandaamesafiri hadi katika kambi iitwayo Kiriandongo kujionea hali ilivyo na kuandaa ripoti ifuatayo.