Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri upatikanaji wa lishe nchini Chad

Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri upatikanaji wa lishe nchini Chad

Mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri mazingira mashariki wa chad. Mabwawa ya maji yamekuwa machache. Baada ya msimu wa mvua ambapo kwa kawaida kuna mavuno.

Miaka mitatu iliyopita mabadiliko ya hali ya hewa yamekithiri. Mwaka 2012 watoto katika nchi za ukanda wa Sahel walitibiwa ugonjwa wa utapiamlo uliokithiri yaani unyafuzi. Hii ni hali ambayo inayoathiri watoto karibu asilimia tatu walio chini ya umri wa miaka mitano katika eneo la Ouaddai mashariki mwa Chad.

(Makala ya Grace)