Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Amani yaanza kurejea Mali, wakimbizi waanza kurejea

Amani yaanza kurejea Mali, wakimbizi waanza kurejea

Kuimarika kwa amani nchini Mali hivi karibuni kumesababisha baadhi ya wakimbizi wa nchi hiyo walioko Niger kuanza kurudi makwao. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa kushirikiana na mashirika mengine linaratibu mchakato huo.

Joseph Msamia anaangazia zoezi la kuondoka kwa wakimbizi hao katika makala ifutayo. Ungana naye.