Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Kubwa zaidi lililotikisa ulimwengu ni kifo cha Madiba! Taifa lake, dunia nzima ilimlilia na katika ibada ya mazishi ilikuwa bayana.

 Wimbo (kwaya)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliweka bayana kuwa dunia imegubikwa na majonzi lakini.

 (Sauti ya Ban)

 Lakini je,hilolawezekana? Dokta Salim Ahmed Salim, mwanadiplomasia na Katibu Mkuu mstaafu wa uliokuwa Umoja wa nchi huru za Afrika OAU sasa AU.

 (Sauti ya Dokta Salim)