Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Raia Ufilipino wahaha kutafuta makazi baada ya kimbunga

Raia Ufilipino wahaha kutafuta makazi baada ya kimbunga

Baada ya kimbunga Haiyan kuikumba Ufilipino na kuathiri mamilioni ya watu, sasa maeneo ya uma ndio hutumiwa na baadhi ya raia kujihifadi baada ya nyumba zao kuharibiwa vibaya na kimbunga hicho.

K imbunga hicho kimkesababisha adha kadhaa kwa makundi ya watu

kama anavyosimulia Grace Kaniya katika ripoti ifuatayo