Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utamaduni wa kiarabu washamiri ndani ya siku ya lugha ya kiarabu kwenye UM

Utamaduni wa kiarabu washamiri ndani ya siku ya lugha ya kiarabu kwenye UM

Lugha ni mojawapo  ya mbinu itumiwayo na binadamu kudhihirisha utamaduni wake. Miongoni mwa lugha zilizovuka mipaka ya nchi na hata bahari ni lugha ya kiarabu ambayo tarehe 18 Disemba ilienziwa ndani ya umoja wa mataifa kwa siku maalum. Tamaduni mbali mbali ziliwekwa bayana kwenye Makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Je ni tamaduni zipi hizo, ungana na Assumpta Massoi kwenye ripoti hii..