Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mpango wa kukwamua uchumi Tanzania waleta nuru kwa kaya maskini: Benki ya dunia

Mpango wa kukwamua uchumi Tanzania waleta nuru kwa kaya maskini: Benki ya dunia

Suala la maendeleo na ukuzaji uchumi wenye maslahi ya wengi limeendelea kuwa ni changamoto kwa nchi maskini ikiwemo Tanzania. Benki ya dunia inasema kuwa takwimu za ukuaji wa sekta kama vile kilimo inayogusa wakazi wengi nchini humo ijapokuwa inaonekana kukua lakini bado kaya maskini zinabaki nyuma. Hata hivyo mpango unaotekelezwa nchini Tanzania umeonekana kuwa jawabu na kuleta nuru kwa kaya maskini, mpango ambao hata benki ya dunia inaupigia chepuo. Je ni mpango upi huo? Ungana na Joseph Msami katika ripoti hii.