Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uzalishaji wa mbao washuka Ulaya-FAO

Uzalishaji wa mbao washuka Ulaya-FAO

Ripoti  ya shirika la chakula na kilimo FAO imeonyesha kuwa katika msimu wa mwaka 2012 Ulaya haikufanya vyema kwenye soko la kimataifa la mbao huko nchi za Amerika Kusin na Asia –Pacific zikifanya vizuri.

Ripoti hiyo mpya imesema sababu kubwa ya Ulaya kufanya vibaya ni matokeo ya mtikisiko wa kiuchumi ulioyaandama mataifa mengine ya Ulaya.Imesema mataifa kama Urusi yalikuwa na kasi ndogo ya urejeshaji kwenye mstari wake hali ya ukuaji uchumi.

Ripoti hiyo imesema kuwa kiwango cha uzalishaji wa mbao katika soko la kimataifa kilishuka kwa wastani wa asilimia 1-4