Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haki za binadamu zaenziwa Somalia na Afghanistan

Haki za binadamu zaenziwa Somalia na Afghanistan

Wakati dunia ikiwa imeadhimisha siku ya haki za binadamu mapema wiki hii, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi mbalimbali unakabiliwa na changamoto kadhaa. Hata hivyo kuna juhudi za makusudi za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kutekeleza haki hizo. Mathalani Somalia na Afghanistan zimeonyesha nuru na matumaini.

Basi ungana na Joseph Msami katika makala inayosimulia namna gani nchi hizo mbili zimedhamiria kutekeleza haki za binadamu katika nyanja kadhaa