Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mfumo mpya wa kuzuia maambukizi ya HIV kwa watoto ni wakutumainisha

Mfumo mpya wa kuzuia maambukizi ya HIV kwa watoto ni wakutumainisha

Wakati dunia hivi karibuna iliadhimisha siku ya ukimwi duniani mnamo Disemba mosi, mikakati mbalimbali ya kutokomeza maambukizi ya ugonjwa huo inaendelea. Mathalani nchini Jamhuri ya kidemokrisia ya Kongo, DRC ambako mfumo mpya na wa kisasa wa kutokomeza maambukizi kwa watoto uliozinduliwa mwaka huu umeshika kasi.

Ungana na Grace Kaneiya ambaye katika makala ifuatayo anamulika huduma hiyo na namana inavyoleta matumaini kwa jamii