Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kosa lililomfanya Mandela afungwe ni kupigania Haki:Mbotela

Kosa lililomfanya Mandela afungwe ni kupigania Haki:Mbotela

Mzee Mandela ni kiongozi ambaye anatambulika kote ulimwenguni, umaarufu wake atakumbukwa na wengi hususani wale waliomshuhudia. Miongoni mwao ni mwandishi mashuhuri Afrika Mashriki Leornard Mambo mbotela kutoka Kenya. Jason Nyakundi amefanya mahojiano maalum na Mambo mbotela kuhusu wasifu wa hayati Nelson Mandela. Kwanza Mambo annanza kueleza vile ufahamu wake wa Mandela

(MAHOJIANO YA JASON NA MAMBO MBOTELA)