Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike wamulikwa Tanzania

Ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike wamulikwa Tanzania

Kama sehemu ya maadhimisho ya siku kumi na sita za kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike tunaangazia swala hili ambalo linahusisha vitendo kama vile vipigo majumbani, unyanyasaji sehemu za umma, shambulio la mwili, ukeketaji, mauaji na hata vitendo vinavyosababisha msongo wa mawazo. Basi ambatana na Tamimu Adamu na Enesi Mwaisakila wa Radio Washirika Jogoo FM kutoka RuvumaTanzania kwenye makala hii inayoangazia ukatili huko nchini Tanzania

 (MAKALA YA TAMIMU NA ENESI)