Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yatekeleza mkakati maalum wa kupambana na ukatili wa kijinsia.

Tanzania yatekeleza mkakati maalum wa kupambana na ukatili wa kijinsia.

 

Wakati siku kumi na sita za kupinga ukatili dhodi ya wanawake na wasichana zimeanza leo, nchi mbalimbali zinatekeleza mkakati huo ikiwamo Tanzania. Nchi hiyo iliyoko mashariki mwa Afrika imeanzisha dawati maalum katika jeshi la polisi ili kushughulikia vitendo vya ukatili kwa kundi hilo.

 Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa  idhaa hii kamanda wa polisi wa mkoa wa kipolisi wa Ilala , Dar es salaam Marietta Minanji anafafanua kazi za dawati hili huku pia akieleza namana jaeshi la polisi linavyoshughulikia mauaji ya hivi karibuni jijini humo yatokanayo na wivu wa kimapenzi.

 (Sauti Minanji mahojiano)