Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi yaongezeka: UNAIDS

Maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi yaongezeka: UNAIDS

Katika kuelekea siku ya Ukimwi duniani tarehe Mosi Mwezi ujao, Shirika la Umoja wa mataifa linalohusika na Ukimwi, UNAIDS limesema lina hofu juu ya ongezeko la maambukizi mapya ya Ukimwi Ulaya Mashariki, Asia ya Kati, Mashariki ya Kati na Afrika kaskazini. Ripoti kamili na George Njogopa.

(Taarifa ya George)