Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunzeni mazingira ili tuvutie watalii: Rais Museveni

Tunzeni mazingira ili tuvutie watalii: Rais Museveni

Suala la utunzaji wa mazingira likiwa miongoni mwa malengo manane ya mendeleo ya milenia. Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amekemea unchafuzi wake akisema, kinaathiri sana sekta ya utalii.

Hi hapa ni ripoti yake John Kibego wa redio washirika ya Spice FM Uganda.

(Tarifa ya John Kibego)

Akihutubia umati wa waliokusanyika wilayani Nebi kutazama tukio la jua kupatwa na mwezi, Raisi Museveni alisema, sekta ya utalii hutegemea sana mazingira na kuataka walioingilia mbuga za wanyama wa porini na misitu kuondoka. Alisema, sekta ya utalii imeimarika kutoka watalii bgfwa gineni laki moja katika mwaka 1993 hadi milioni 1.15 waliopokewa mwaka 2011 na kuchangia pakubwa kwa mapato ya nchi.

(Sauti ya raisi Museveni)

Museveni hakusahawu kuzungumuzia vitisho vya kigaidi vinavyoikabili nchi na kuwaomba radhi kwa wageni ju ya kuzuiliwa hapa na pale na wanausalama.

(Sauti ya Museveni)

Sherehe hiyo ambao ni ya kihistoria nchin Uganda ilivutia maelfu ya watu wakiwemo wanasayansi ya angani kutoka duniani kote.

Wote akiwemo raisi Museveni walivalia miwani maalumu kuitikia onyo ya wanasayasi mwamba kushuhudia tukio hilo bila kinga ni hatari kwa macho.

Hatimaye jua lilipatwa na mwezi na giza ikatokea kwa sekunda chache zilizokutra kila jicho likiangalia angani majira ya saa kumi na moja jioni.

Tukio kama hilo liliwahi kushuhudiwa nchini Australia mwaka 1466 na linatarajiwa tena miaka 101 kutoka sasa.