Mchezaji wa kandanda Yaya Touré ateuliwa kama balozi mwema wa UNEP

31 Oktoba 2013

Bingwa wa kimataifa wa kandanda Yaya Touré ameteuliwa kama balozi mwema wa Shirika la mazingira duniani UNEP akiahidi kukabiliana na uwindaji haramu wa ndovu wa Afrika. Joseph Msami ameandaa ripoti ifuatayo.

(Makala ya Joseph Msami)