Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mediterenia ya mashariki ni eneo la pili duniani kwa maafa kutokana na ajali za barabarani

Mediterenia ya mashariki ni eneo la pili duniani kwa maafa kutokana na ajali za barabarani

Ripoti mpya kuhusu usalama barabarani kote duniani mwaka huu wa 2013, imetolewa leo na Shirika la Afya Duniani, WHO. Ripoti hiyo ambayo ina maelezo kutoka nchi 182, inaweka pia vigezo vya kufuatilia hatua zinazopaswa kuchukuliwa katika mwongo mmoja wa usalama barabarani, kati ya mwaka 2011-2020. Grace Kaneiya  ana maelezo zaidi

(Ripoti ya Grace)