Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uganda yaweka mfano wa kuigwa, swala la usajili wa watoto

Uganda yaweka mfano wa kuigwa, swala la usajili wa watoto

Zaidi ya nusu ya watoto walio nchi za kusini mwa jangwa la Sahara hawajasajiliwa ikimaanisha hawana vyeti vya kuzaliwa. Hii inawafanya kukosa kupata huduma muhimu za kijamii. Hali hii imepelekea kufanyika kwa mkutano unaowajumuisha washirika kutoka nchi 13 za Afrika.

(Makala ya Grace Kaneiya)