Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mfanyakazi wa UM aliyeshilikiliwa mateka Syria aachiliwa

Mfanyakazi wa UM aliyeshilikiliwa mateka Syria aachiliwa

Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa anashikiliwa mateka nchini Syria kwa miezi minane ameachiliwa leo. Carl Campeau aliyekuwa afisa sheria katika ofisi ya Umoja wa Matifa ya uangalizi wa usitishaji mapigano UNDOF huko Golan alitekwa mwezi February.