Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nyerere akumbukwa kwa kuunganisha watanzania:Shairi

Nyerere akumbukwa kwa kuunganisha watanzania:Shairi

Katika tukio la kumuenzi Baba wa Taifa la Tanzania lililofanyika Umoja wa Mataifa mjini New York, siku ambayo pia ni kumbukumbu ya kifo chake miaka 14 iliyopita, mwakilishi wa Jumuiya watanzania mjini humo Haji Khamis alighani shairi kuhusu maisha ya mwalimu na mchango wake kwa Tanzania. Na alianza kwa salamu…

(Shairi Haji)