Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nyerere amechangia pakubwa ukuaji wa Kiswahili duniani:Balozi Macharia

Nyerere amechangia pakubwa ukuaji wa Kiswahili duniani:Balozi Macharia

Lugha ya Kiswahili imepata umaarufu mkubwa duniani na inaendelea kukua hadi sasa kwa ajili ya mchango mkubwa wa baba wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Hayo yamesemwa na balozi wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Macharia Kamau wakati wa hafla maalumu ya kumuenzi mpigania uhuru huyo kwa mara ya kwanza kwenye Umoja wa mataifa

(SAUTI YA MACHARIA KAMAU)

Bwana Kamau ameongeza kuwa Mwalimu Nyerere hakuwa tuu kiongozi wa Tanzania bali wa bara la Afrika na kila palipokuwa pakipigania haki

(SAUTI YA MACHARIA KAMAU)