Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mchango wa mwalimu Nyerere asilani hautosahaulika:Linda Mhando

Mchango wa mwalimu Nyerere asilani hautosahaulika:Linda Mhando

Mwanzilishi wa taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere ambaye ameenziwa kwa mara ya kwanza kwenye Umoja wa Mataifa mwaka huu Oktoba 14, amemiminiwa sifa lukuki na watu mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa kitabu “Julius Nyerere jabali wa Afrika kutoka azimio la Arusha hadi Obama.

Kitabu hicho kimehaririwa na Profesa Ali Mazrui kutoka Kenya na profesa Linda Mhando kutoka Tanzania ambaye ameketi chini na Flora Nducha kujadili kitabu chaao lakini pia alivyomfahamu mwalimu Nyerere

(MAHOJIANO NA PROFESA LINDA MHANDO)