Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Magonjwa ya akili bado yasumbua dunia

Magonjwa ya akili bado yasumbua dunia

Dunia inapoadhimisha siku ya afya ya akili leo, shirika la afya duniani, WHO linasema wazee wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea ndiyo wanaoshmabuliwa zaidi na magonjwa ya akili.

 Mwandishi wetu wa Tanzania George Njogopa anaangazia hali ya ugonjwa ahuo nchini humo ambapo ametembelea hospitali ya taifa ya  Muhimbili jijini Dar es Salaama ili kutathimini hali ilivyo. Ungana naye.