Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia yaendelea kuimarisha taasisi, sasa yamulika kikosi cha zimamoto

Somalia yaendelea kuimarisha taasisi, sasa yamulika kikosi cha zimamoto

Nchini Somalia kazi ya kuimarisha taasisi za umma kama nguzo mojawapo ya kuhakikisha serikali inawajibika ipasavyo inaendelea.  Takribani miezi kumi iliyopita kikosi cha zimamoto kilianzishwa ili kufanya kazi za uokoaji ikiwemo kuzima moto. Changamoto ni stadi kwa watendaji na hilo limepatiwa jawabu na kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia, AMISOM na Umoja wa Mataifa kwa kuwapeleka nchini Kenya kwa mafunzo baadhi ya watendaji kama inavyoelezea ripoti hii ya Assumpta Massoi